Friday, April 8, 2016

Maswala saba unayostahili kufahamu kabla ya kuanza biashara Yako

“Kama nilijua ninachokijua sasa, ningefanya mambo tofauti.” Je, Unatambuliwa kwa njia zoefu ama iliyozoeleka? Wamiliki wengi wa biashara ndogondogo huyasema haya mara kwa mara. Itazame orodha hii ya maswala ya kuangaziwa kabla ya kuanza biashara. Uza kile wateja wako wanataka:   Usiangazie tu kile unachotaka. Usipotafakari kuhusu wateja wako,kuna uweza wa kutonunua bidhaa yako....